Nyumba za gharama nafuu ni tatizo kubwa kwa miji mingi nchini Australia, ila ni tatizo kubwa haswa kwa vijana.
Gharama kubwa ya maisha pamoja na uhaba wa kazi za ujuzi wa kati, ime waacha vijana nchini wakiomba msaada katika bajeti ya shirikisho itakayo tangazwa muda usio mrefu, ili waweze jimudu kwa siku za usoni.
Share






