Tiketi milioni moja za kombe la dunia, la soka ya wanawake itakayo andaliwa nchini Australia na New Zealand zime uzwa tayari.
Wachezaji na walimu wame karibisha jeki kubwa kwa hela za kushinda katika michuano hiyo, kwa timu zote zitakazo shiriki.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






